Mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga kupitia ccm Azza Hilal akizungumza kwenye mkutano wa wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Shinyanga na kueleza kutoridhishwa kitendo cha bodi ya afya mkoa wa Shinyanga kupandisha gharama za matibabu katika hospitali ya mkoa ambapo amesema ni kutowatendea haki wananchi BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA KAMILI KUHUSU SAKATA LA HUDUMA YA FAST TRACK KUSITISHWA NA SERIKALI LEO |
Social Plugin