WASHINDI WOTE WA TUZO ZA "KILIMANJARO MUSIC AWARDS" 2014
Sunday, May 04, 2014
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive
2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee 4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz 5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru 6. WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe, Dabo 7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf 8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab 9. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB - Isha Ramadhani 10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf 11. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo, Mashujaa Band 12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu 13. MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara 14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson 15. BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band 16. MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee 17. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond 18. KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi 19. WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee 20. WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako 21. MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q 22. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond 23. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone 24. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf 25. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella 26. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond 27. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q 28. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, TAARAB - Enrico 29. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, BENDI - Amoroso 30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA, KIZAZI KIPYA -Man Water, Combination Sound 31. HALL OF FAME, INDIVIDUAL - Hassan BItchuka 32. HALL OF FAME, INSTITUTION - Masoud Masoud 33. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA - Number One, Diamond 34.WIMBO WA MWAKA - Number One. Diamond 35. MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani 36. MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin