Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA JINSI MWILI WA ASKARI ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI HUKO TABORA ULIVYOAGWA

Mwili wa marehemu PC JUMANNE ukishushwa kupelekwa ukumbini kwa ajili 
ya kuagwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP. Suzan Kaganda jana tarehe 30/04/2014  jioni amewaongoza waombelezaji na watendaji kutoka vyombo vya usalama, askari, taasisi za serikali na zisizo kiserikali za mkoa wa Tabora kuuaga mwili wa Askari PC JUMANNE ambaye aliyefariki baada kupigwa risasi na majambazi akiwa katika majukumu ya utendaji kazi.
RPC Tabora ACP. Suzan Kaganda akiongoza waombelezaji kuaga mwili wa
 marehemu PC JUMANNE.

Waombelezaji wakiwa katika hali ya majonzi
Viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tabora wakiwa katika hali ya huzuni.
Mchungaji wa Kanisa la Waadivensti akiongoza misa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com