Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA PICHA MAZISHI YA SHUJAA WA KAMERA MAXMILIAN NGOBE,ALIYEKUWA MPIGA PICHA MLIMANI TV

Picha ya marehemu Max iliyopambwa kwa maua msibani, katika viwanjwa vya leaders hii leo.
Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake.

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.

Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu Max.

Sehemu ya waombolezaji wakiwa kwenye foleni ya kwenda kuaga mwili wa Marehemu Max.

Sehemu ya Wadau wa Habari waliohudhuria shughuli hiyo


Ankal akiwa na baadhi ya wanamuziki waliofika kwenye mazishi hayo.

 Sehemu ya Waombolezaji.

Mwili wa Marehemu Max ukielekea Makaburi ya Kinondoni kwa Mazishi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com