Rachel Haule "Recho" enzi za uhai wake |
Mpaka sasa taratibu za mazishi ambazo zimetangazwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amesema kuwa mazishi yatafanyika Alhamisi kwenye makaburi ya Kinondoni.
Shughuli ya kuagwa kwa mwili itafanyika kwenye viwanja vya Leaders vilivyopo Kinondoni,pia siku hiyo yatafanyika mazishi ya wote wawili yaani mama pamoja mtoto,taarifa ya mwanzo ya familia ilikua marehemu akazikwe kwao Songea lakini kutokana na ushawishi wa familia ya filamu wameomba yafanyike jijini Dar es salaam na familia imekubali.
Social Plugin