Uwiii!! KUTANA NA KAHABA MZEE KULIKO WOTE DUNIANI,ANA MIAKA 85 ANADAI BADO ANA MVUTO

Huyu si mwingine bali ni Sheila Vogel-Coupe, miaka 85 raia wa Uingeraza, alianza kazi ya ukahaba toka enzi za ujana wake na kazi zake anazifanyia kwenye mahoteli  na nyumbani (Kisheria lakini) na mpaka sasa anafanya kazi hiyo kwa kiasi cha euro £250 kwa saa  zaidi ya shikingi laki sita za kibongo.... HATARI SANA


Bibi huyu pamoja na wenzake alieza kuwa anafurahia kazi hii na anajijua kuwa bado ana mvuto katika kipindi cha My Granny The Escort itakayorushwa hewani katika New Chanel 4 Documentary (C4) alhamis wiki ijayo...

Katika kuelezea kwanini alichagua kazi hii Sheila alisema;



"The most important reason is because I love sex. Even thinking about it makes me feel better".

Akielezeakuhusu wateja wake anasema; "They see something about me. It is a nice feeling.
"I know I am very, very sexy."


NOUMA KWELI!!
Makahaba wa zee engine waiohojiwa kwenye kipindi hicho ni pamoja na Beverley (64) na  Sophie(57)
Beverley
Sophie

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post