Huyu si mwingine bali ni Sheila Vogel-Coupe, miaka 85 raia wa Uingeraza, alianza kazi ya ukahaba toka enzi za ujana wake na kazi zake anazifanyia kwenye mahoteli na nyumbani (Kisheria lakini) na mpaka sasa anafanya kazi hiyo kwa kiasi cha euro £250 kwa saa zaidi ya shikingi laki sita za kibongo.... HATARI SANA
Bibi huyu pamoja na wenzake alieza kuwa anafurahia kazi hii na anajijua kuwa bado ana mvuto katika kipindi cha My Granny The Escort itakayorushwa hewani katika New Chanel 4 Documentary (C4) alhamis wiki ijayo...
Katika kuelezea kwanini alichagua kazi hii Sheila alisema;
"The most important reason is because I love sex. Even thinking about it makes me feel better".
Akielezeakuhusu wateja wake anasema; "They see something about me. It is a nice feeling.
"I know I am very, very sexy."
Beverley |
Sophie |
Social Plugin