Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wachina Noma sana!! WATENGENEZA BEGI PIKIPIKI,TAZAMA PICHA HAPA JAMAA AKIKATIZA MTAANI NA BEGI PIKIPIKI LAKE


Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki.
Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu wawili, na linaweza kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa. Linatumia nishati ya betri. Mkulima huyo He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka nguo na likiwa tupu lina uzito wa kilo 7.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com