Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Mbeya zinaeleza kuwa Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Kumtukuza Mungu Happy Kamili Pichani ambaye pia ni mke wa mchungaji Kamili wa TAG (Tanzania Assemblies of GOD),amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kusababisha ajali kwa kugonga gari lililokuwa nyuma yake wakati akirudisha nyuma gari lake, tukio lililotokea mwezi januari mwaka 2014.
Social Plugin