Inachekesha!!NGURUWE ATOROKA KWENYE LORI ASICHINJWE, TAZAMA PICHA

Screen Shot 2014-06-14 at 12.31.52 AM
Pig-escape

Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea.

Nguruwe huyo alikamatwa na kamera akifanya mbinu na hatimaye kufanikiwa kutoroka kutoka kwenye Lori kuepuka kuchinjwa.

Alianza kwa kutoa kichwa nje na baadae kuruka mwili wote. 

Unaweza kuona ni kitendo cha ajabu na cha kufurahisha lakini mwisho wa siku Nguruwe huyo alijinasua kutoka kwenye mikono na watu waliokuwa wamebeba idadi kubwa ya Nguruwe kuwapeleka sokoni kuuzwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post