Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Kahama Noma sana!! NDIYO WILAYA YENYE BENKI NYINGI SHINYANGA, BENKI YA 11 YAJENGWA


Hii ni Bank ya 11 Sasa Mjini Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Diamond Trust Bank ambayo ujenzi wake unaendelea
 
 Kama unavyoona pichani ujenzi unendelea ikiwa ni katika hatua za mwisho 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com