Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Makubwa haya!! MWALIMU AMBANDIKA GUNDI MDOMONI MWANAFUNZI WAKE ILI ASIPIGE KELELE DARASANI

Elise na Marc Smith
Hii imetokea huko Uingereza-Msichana Elise Smith, 11, amebandikwa gundi mdomoni na mwalimu wake kwa dakika 15 ili aache kupiga kelele darasani.

Gavana wa shule hiyo amekosoa tendo hilo na hakuna hatua za kinidhamu zilizochukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.

Licha ya mwalimu huyo kuomba msamaha kwa Elise na wazazi wake lakini wamegoma kumsamehe na wameshinikiza kuondolewa kwa mwalimu huyo shuleni hapo.

Marc Smith, baba mzazi wa Elise alisema kuwa hajafurahia kitendo cha uongozi wa shule hiyo kutokumchukulia hatua zozote za kinidhamu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com