Elise na Marc Smith |
Hii imetokea huko Uingereza-Msichana Elise Smith, 11, amebandikwa gundi mdomoni na mwalimu wake kwa dakika 15 ili aache kupiga kelele darasani.
Gavana wa shule hiyo amekosoa tendo hilo na hakuna hatua za kinidhamu zilizochukuliwa dhidi ya mwalimu huyo.
Licha ya mwalimu huyo kuomba msamaha kwa Elise na wazazi wake lakini wamegoma kumsamehe na wameshinikiza kuondolewa kwa mwalimu huyo shuleni hapo.
Marc Smith, baba mzazi wa Elise alisema kuwa hajafurahia kitendo cha uongozi wa shule hiyo kutokumchukulia hatua zozote za kinidhamu
Social Plugin