Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA




Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. 

Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama yake amefariki dunia leo.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA).Bi Shida Salum,na Mjumbe wa kamati Kuu ya chama cha CHADEMA,aliyekuwa amelazwa chumba cha Wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU),katika Hospitali ya AMI,Masaki jijini Dar,ameaga Dunia.
Bi Shida Salum alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani ya shingo ya uzazi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com