Mashindano mengine bwana!!! SHINDANO LA KUMTAFUTA MREMBO MWENYE HIPS KUBWA LAFANYIKA,TAZAMA PICHA HAPA
Thursday, June 12, 2014
Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino.Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndiyo aliyeibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin