Nimetumiwa story hii na chanzo ambacho hakikujitambulisha, na ni stori iliyoambatanishwa na picha, ni story ya binti aliyevunjika shingo yake na kufariki katika tamasha la kucheza muziki mitaani (street dance) katika mitaa ya Jamaica weekend weekend iliyopita.
Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa binti huyo alikuwa ni dancer wa muziki katika style ya acrobatic dance na alikuwa akicheza kichwa chini miguu juu, juu ya speaker ndipo alidondoka na kuvunja shingo kisha kupoteza maisha.
Baadhi ya watu walikwenda kumuinua lakini tayari alikuwa amekata roho...too sad!
via>>fichuotz
Social Plugin