Stori kubwa kutoka town leo ni kuhusu staa wa filamu za kiswahili maarufu kama Bongo Movie na mtaalam wa kuiga sauti za watu mashuhuri kitu kilichompatia jina maarufu la Steve Nyerere kutokana na kumuigiza sana baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Ishu kubwa kuhusu Steve Nyerere this weekend ni kuhusu kuchaguliwa kuwa Kamanda mpya wa CCM tawi la bwawani.
Tukumbuke kwamba Steve Nyerere ambaye jina lake halisi ni Steve Mengere ni kiongozi wa Bongo Movie Unity!
via>>fichuotz
Social Plugin