Staa wa Bongo Fleva,Hamis Baba 'H Baba' akiwa amelazwa siku ya jana baada ya kukimbizwa hospitali.
STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana.
Hamis Baba alisema kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…
Social Plugin