Naibu meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila akiangalia nyufa iliyozibwa kwa simenti katika moja ya kuta za jengo hilo |
Wanakagua ujenzi wa zahanati-Mbele ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila,nyuma yake ni mhandisi wa majengo katika manispaa ya Shinyanga Steven Manyango |
Ukaguzi wa jengo unaendelea-Jumla ya shilingi milioni 23 na laki 7 na nusu zimetumika katika ujenzi huo kati ya shilingi milioni 25 zilizotolewa na serikali katika awamu ya kwanza |
Jengo la zahanati ya Bushola nalo limekutwa na nyufa kama unavyoona pichani. Picha zote na Kadama Malunde-Shinyanga |
Social Plugin