Kijana mmoja ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.
Ridhiwani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka
Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...
Picha na Arusha yetu Blog
Social Plugin