Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
Mchana wa June 02 ndiyo yamefanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki jana Mei 01 Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa kwa ajili ya kwenda kuzikwa Kigoma.
Mazishi yamefanyika saa 9 alasiri Huko Kigoma
Social Plugin