Aliyeshikilia kipaza sauti(mic) ni mwenyekiti wa UWT wilaya ya Shinyanga bi Helena Daudi akitambalisha wageni walioko meza kuu akiwemo katibu wa ccm mkoa wa Shinyanga Adam Ngalawa(kulia kwake) |
Mbunge wa viti maalum Azza Hilal akiendelea kuzungumza na wajumbe wa UWT wilaya ya Shinyanga vijijini leo mjini Shinyanga |
Baadhi ya wajumbe wa UWT wilaya ya Shinyanga vijijini |
Watu wenye ulemavu wakiwa kwenye baiskeli walizopewa na mbunge Azzah Hilal leo mjini Shinyanga |
Mtoto mwenye ulemavu akiwa amekaa kwenye kiti cha magurudumu,ambacho ni miongoni mwa viti vilivyotolewa na mbunge huyo wa ccm shinyanga |
Social Plugin