Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni. Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.
Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.
Steve Nyerere pamoja na Rich Rich wakiwa kwenye nyuso za uzuni na kukubali kweli hawatomuona tena Tyson
Anaitwa pasta Bob Makali kutoka Ocean Community Church alikuwa akiubiri neno la mungu na kuendesha sala hapa hapa nyumbani.
Mtoto wa marehemu Tyson anaitwa Sonia pamoja na mama mtoto Monalisa wakiwa kwenye huzuni baada ya kuambiwa waende kumtizama mpendwa wao.
Picha Na:- DjChokaMusic
Social Plugin