Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TUMIA MUDA KIDOGO KUFAHAMU MAAJABU HAYA YA DUNIA

1. Kwa mujibu wa scientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.
. 
2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana UBONGO. Kwa mujibu waWikipedia .

3. Katika misuli ya binadamu, msuli ambao unafanya kazi nyingi na ni imara kuliko yote ni ULIMI kwa mujibu wa livescience.com .

4. Tembo,kiboko na kifaru ndio mnyama ambao hawawezi kuruka juu. Hapa kuruka ina maana kuwa na miguu yao yote juu. Kwa mujibu wa listverse.com .

5. Kwa mujibu wa scienceline.ucsb.eduwanyama wengi ukiacha binadamu na dolphin hufanya mapenzi ili tuu waweze kuzaliana. Hivyo kwa wanyama wengine kama hakuna dalili kuwa mnyama wa kike hatopata ujauzito , basi wanyama hao hawafanyi mapenzi. Mojawapo ya dalili kuwa mnyama anaweza kubeba ujauzito ni kutoa aina fulani ya harufu, sauti, na hata kubadilika muonekano wake ili kutoa ishara kwa mnyama mwanaume.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com