Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Uchawi!! JAMAA AMEKULA CHAKULA CHA KAFARA AWASHWA NA VITU MWILI MZIMA,ASUGUA MIGUU MWANZO MWISHO

Mwathirika akisugua miguu chini kama vile anawashwa na vitu mwilini.
MTU mmoja ambaye anasadikiwa kula chakula na baadaye kuanza kuchanganyikiwa alinaswa na kamera yetu leo akisugua miguu ardhini na kujikuna mwili mzima, jambo ambalo lilidaiwa na wapita njia kuwa alikuwa amekula chakula kilichokuwa maalumu kwa ajili ya kafara.  

Haikujulikana chakula hicho amekila wapi na ni chakula gani.  Jina lake pia halikuweza kupatikana mpaka kamera yetu inaondoka sehemu hiyo.

Tukio zima limetokea eneo la  Sinza-Legho Mtaa wa Shekilango, jijini Dar es Salaam,  kwenye kampuni ya magari makubwa ya usafirishaji.


Picha na Gabriel Ng’osha

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com