Kufuatia picha za kimahaba za Mbunge John Komba kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti hapa nchini, mtandao huu umeinasa picha inayodhaniwa kuwa ni halisi kuhusu sakata hilo.
Muda mchache baada ya picha
hizo za kimahaba za Mbunge huyo kutapakaa, yeye mwenyewe alitoa taarifa na kusema kuwa hausiki na picha hizo, na kwamba zimewekwa kwa ajili ya kumchafua kisiasa.
Komba alisema picha hizo zimetengenezwa na tu na wabaya wake walioamua kuchukua picha na kumpandikiza yeye ili aonekana kuwa ndivyo anavyofanya.
Hii leo Eddy Blog imetumiwa picha na mdau ambaye hakutaka kuwekwa wazi akisema kuwa picha hiyo ya Komba si kweli kuwa anafanya hivyo na badala yake akatutumia picha anayodai ni halisi ya tukio hilo si hiyo ya komba ambayo ni feki.
Picha hiyo imo katikati itazame kwa makini hapo juu, ya mwanzo ni ya Mh Komba anayodai mdau wetu kuwa ni feki(yaani ya kutengeneza) na katikati akaiweka picha halisi anayodai ndiyo iliyoeditiwa (haririwa) akaingizwa Komba