Katikati ni mfanyabiashara wa mihogo katika soko la Nguzo nane mjini ShinyangaBI Mwantumu Almas akiwa na mteja wake Warda Twalibu,akimpa maelezo juu ya kupanda kwa gharama za mihogo na viazi na kusababisha wao kuuza kwa bei ya hasara ambapo fungu moja ni shilingi 1000/= likiwa na mihogo minne hadi mitano,ambapo alisema hali hiyo inatokana na wakulima kupandisha bei kutoka shilingi 8000/= hadi 16,000/= kiroba kimoja,hivyo kusababisha wao kupunguza idadi ya mihogo kwenye fungu kutoka mihogo 8 hadi mitano,ambapo gharama hizo zimepanda baada ya kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhan.i <<<BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI>>> |
Social Plugin