Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BAADA YA BRAZIL KUBURUZWA,KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AJIUZULU

Luiz Felipe Scolari.
  KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014.

Scolari amelaumiwa kwa kushindwa kuiongoza Brazil iliyoambulia nafasi ya nne katika muchuano hiyo iliyoandaliwa nyumbani kwao huku ikishuhudia kombe likienda kwa Ujerumani.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com