Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BAADA YA KAVUMBAGU, CHUJI NAYE ATIMKIA AZAM LEO

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi ‘Chuji’ akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Chuji akifanya yake leo mazoezini.
Chuji akiwa mazoezini leo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com