Breaking News!! BASI LAPINDUKA ASUBUHI HII ENEO LA USANDA-SHINYANGA,LILIKUWA LINATOKA MWANZA KWENDA DAR
Tuesday, July 22, 2014
Kumetokea
ajali asubuhi hii baada ya basi la Supernajimunisa lililokuwa linasafiri kutoka Mwanza
kuelekea Dar es salaam kupinduka baada ya tairi zake za mbele kupasuka katika
eneo la Usanda kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Social Plugin