Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Breaking News!! VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA VIKIWA KWENYE MFUKO WA PLASTIKI HUKO BUNJU


Jeshi la polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, limefanikiwa kukamata viungo vya binadamu vikiwa kwenye mifuko ya plastiki katika maeneo ya Bunju eneo ambalo ni marufu kwa uchimbaji wa kokoto.


Viungo hivyo vilivyotambulika ni  kama vile miguu iliyokauka na mafuvu ya vichwa vya binadamu huku navyo vikiwa vimekaushwa.....

<<<BOFYA HAPA KUONA VIUNGO HIVYO-PICHA ZINATISHA>>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com