Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS!! WATANGAZAJI CLOUDS FM WACHAPANA MAKONDE LIVE STUDIO

 
Katika hali ya kushangaza bila kutarajia kumetokea Ugomvi mkubwa mchana huu katika studio za Clouds ambapo inaonekana Dj Fety wakibishana na B12 kuhusu kulunch kitu fulani hewani sasa hapo ndipo mbinde ilipoanzia, hii imetokea muda mfupi uliopita kwenye kipindi cha xxl.. 



Inshu nzima  iko hivi: Wakampaka ana album alikuwa atoe tangu last yr hajatoa sembuse sasa?



 Fetty akasema yeye atatoa compilation ya fiesta 



 Fetty akasema the fact that ametambua kuwa ni tatizo ni jambo la msingi then sasa hapo ugomvi ndo ukaanza

 Kikanuka zaidi!

Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. 

Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?

B dozen akampaka kuwa fetty yeye hiyo ni idea wakati yake tayari iko printing stages...

Actually B dozen akawa anasema haoni maana ya kutoa album kwani itakuwa

Mchomvu ndo akaanza kuzima mic alipoona ugomvi unazidi hewani..


Fetty aliafiki jamaa wa TRA kusema wauza cds n dvds original saivi wanaonekana feki. Then dozen akaanza kuhoji itakuwaje fetty alikubali hilo wakati ni tatizo?


                             via>>bongoclantz.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com