Baba Eliah
Updates:Dah!nakosa la kusema kipindi hiki cha mwisho tumeishi pamoja zaidi ya mwezi..jana tu jioni umenambia askofu naumwa sana sasa hivi kuliko hata nilipokua kwako..leo najiandaa kuja kukuona naambiwa umekwisha fariki...Dah Rest in Peace Juma Migeto umeondoka mapema sana my brotherJuma Migeto...msiba na taarifa zaidi tutafahamisha mipango bado inapangwa..ndugu zetu wa shinyanga ndugu yetu katutoka.

===========================================================================
Kila mwaka tumekua tukikutana kwenye Kili Music academy kwa ajili ya kuteua wasanii..hata mwaka huu tulikuwa wote...hii ni mwaka 2012..tunapata breakfast..dah!Rest in peace Juma Migeto...mwanangu mengi naweza ongea nikamkufukuru Mungu..nazichek pamba zako apa Gheto naona kama umetoka afu unarudi kuzivaa..Dah!asee...nakumbuka enzi za Shy tunahangaika kuisimamisha toka Aminia Djz baadae Sisi Djz..zote ni harakati za kutoboa kwenye maisha wakati una husle Jb Belmount mwanao Nahusle Clouds...tukapanga kabsa mwaka huu lazma turudi Shy tukapige at least Christmas..tukawa tunasema'Unajua saivi shinyanga naona kama wageni wanatawala wakati wenye mji tupo askofu waambie wakina Emmanuel Msigwana Yahaya Mohamedy Mkazuzu turudini tukaamshe afu turudi dar mi nishaongea na Joram Mahugi kasema poa'dah nadhan hakuna mtu aliyekua na ww karibu siku hizi za mwisho kama mimi na mungu..Juma Migetoumetangulia brother..Mungu akulaze pema peponi..Dah..n'way Mungu msamehe dhambi zake ndugy yetu huyu.ameen.
==========================================================================
==========================================================================
KWA WALE MLIOPO DAR MSIBA WA NDUGU YETU MIGETO UPO UBUNGO MKABALA NA MSIKITI WA KIBO,TUNAOMBA WOTE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI TUSOGEE NYUMBANI HAPO AMBAPO TARATIBU ZOTE ZA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KUJA SHY ZITAFATA — withEmmanuel Msigwa and 2 others.
==============================================================================
Daaaa..................ni kama vile nakuona wakati ule tunaenda kupiga show Maganzo no no no no Juma Migeto 'THE EXPERIENCE DJ' wake up brother!!!
Social Plugin