Jana ghafla show ya XXL kabla haijamalizika, kulitokea kutokuelewana kwa watangazaji wote watatu,yaani B12 na Adam,.
Kilichosababisha haya yote ni mabishano ya mauzo ya album ya Fiesta ambayo kila mmoja alikua anataka aiandae alafu aiuze yeye….. ilitokea B12 alisema ni wazo lake lakini kumbe Fetty na Adam nao wanasema waliwahi kuwa na wazo kama hili.
Watangazaji hawa walianza kugombana studio kama wanavyosikika hapa chini…. ambapo millardayo.com imejaribu kuwatafuta lakini simu zao mbili hazipokelewi na moja imezimwa.

SIKILIZA SAUTI HAPA
Social Plugin