Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HIZI HAPA DAKIKA 6 ZA KILICHOTOKEA NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM JANA,KABLA YA SHOW YA XXL KUISHA,MSHANA KUOMBA RADHI

 
Jana  ghafla show  ya XXL kabla haijamalizika, kulitokea kutokuelewana kwa watangazaji wote watatu,yaani B12 na Adam,.

Kilichosababisha haya yote ni mabishano ya mauzo ya album ya Fiesta ambayo kila mmoja alikua anataka aiandae alafu aiuze yeye….. ilitokea B12 alisema ni wazo lake lakini kumbe Fetty na Adam nao wanasema waliwahi kuwa na wazo kama hili.

Watangazaji hawa walianza kugombana studio kama wanavyosikika hapa chini…. ambapo millardayo.com imejaribu kuwatafuta lakini simu zao mbili hazipokelewi na moja imezimwa.

SIKILIZA SAUTI HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com