Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KUHUSU WATANGAZAJI WA CLOUDS FM KUTWANGANA MANGUMI LEO LIVE STUDIO,SIKILIZA SAUTI HAPA

Kwa wasikilizaji wengi wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, July 2 itabaki kwenye kumbukumbu zao baada ya kusikia kitu kisicho cha kawaida na ambacho hakijawahi kutokea tangu redio za FM zije Tanzania.

Apparently, watangazaji hao akiwemo B12, Adam Mchomvu na DJ Fetty walikuwa wanabishana kuhusu jambo fulani lililowafanya wapoteze uvumilivu na kuanza kushikana na kisha kurushiana makonde. 

Kwenye kipande hicho cha sauti vinasikika vitu mbalimbali zikiwemo mic za studio vikikurupushwa.

SIKILIZA ILIVYOKUWA STUDIO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com