Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KUTOKA FACEBOOK- HAYA NDIYO MAJIBU YA KILICHODAIWA WATANGAZAJI WA CLOUDS FM KUTWANGANA MANGUMI



‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
Ugomvi uliotokea kati ya watangazaji wa XXL ilikuwa ni zoezi la kuhamasisha watanzania kudumisha amani na upendo. Kama watanzania waliweza kupaza sauti zao kuhusu ugomvi wa watangazaji wao, basi wapaze sauti kuhusu uhalifu unaotokea nchini. Watanzania watumie vizuri vyombo vya mawasiliano kukomesha uhalifu.
LikeLike ·  ·  · 42423

Tumekuwa mstari wa mbele kusambaza taarifa za Ugomvi uliotengenezwa kwenye kipindi cha XXL baina ya Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kwa 90% basi tuwe mstari wa mbele kwenye matukio yanayojitokeza mtaani kwako... ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬

Ni shigidi sheedaa..! simu,sms,comments kama milioni semanini na saba unusu kwa fwasi ya dwax..! kilichotokea j5 Ilikuwa prank fulani ivi ili kuona maraia watarespond vipi...kiukweli mrespond poa sana ! Basi kama kitaa washkaji wanazingua na kutishia amani na usalama..we ‪#‎Pazasauti‬‪#‎ukimyahausaidii‬


‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
Ukweli ni kwamba, kilichotokea jumatano kwenye XXL ni ilikua kampeni ya #PazaSauti #UkimyaHausaidii.
Kama watu wanaweza kuchukulia ile ishu ya redio serious kivile na kusambaza ujumbe kwa muda mfupi kwa tukio la kawaida basi wanaweza na wanapaswa kusambaza jumbe na taarifa kuhusiana na matukio yanayo endelea mitaani kwetu kwa kasi hiyo hiyo, jamani tupaze sauti.
#Pazasauti #UkimyaHausaidii

Dj Fetty ndo kapost now
Anasema"""
tukio lote lilikuwa na kusudi la kuelimisha jamii, natumai wote tume elimika kutokana na tukio hili ni kwamba tuna nguvu kwa pamoja ya kutokomeza mambo yatakayoweza kuleta ugomvi kwenye jamii, cha kufanya ni ku‪#‎PazaSauti‬ kwani ‪#‎UkimyaHausaidii‬ kwa kufanya hivi tutaleta amani na upendo kwenye jamii
"""wape neno moja

Baada ya ugomvi wa watangaza wa XXL picha na sauti za ugomvi huo zilisambaa nchi nzima. Ila ugomvi ule haukuwa wa ukweli ulikuwa ni kwa ajili ya kampeni ya kupaza sauti. Watanzania tutumia simu zetu kutokomeza uhalifu na tudumishe amani. ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
LikeLike ·  ·  · 41181
Ugomvi uliotokea kati ya watangazaji wa XXL siku ya Jumatano haukuwa wa ukweli. Ilikuwa ni kampeni ya kuhamasisha watanzania kupaza sauti zao dhidi ya uhalifu unaoweka maisha ya watanzania hatarini. Kama uliweza kupaza sauti dhidi ya ugomvi huu basi paza sauti kuhusu uhalifu unaotokea hapa nchini ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
LikeLike ·  ·  · 109

Watanzania tupaze sauti kuhusu uhalifu na mambo yanayohatarisha amani. Ugomvi uliotokea kati ya watangazaji wa XXL umefanya watanzania wapaze sauti zao. Ila ugomvi ule haukuwa wa kweli bali ni kwa ajili ya kampeni ya ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬ Ukiona uhalifu wowote tumia vyombo vya mawasiliani na vyombo vya dola kukomesha uhalifu.
LikeLike ·  ·  · 2

Jamii imeonyesha imeguswaje na ugomvi kati ya watangazaji wa XXL Clouds Fm Radio na hii imedhihirisha kuwa amani ni kitu muhimu, Sikiliza hii clip na uelimike kutokana na tukio lililotokea juzi. ‪#‎PazaSauti‬‪#‎UkimyaHausaidii‬

Tumekuwa mstari wa mbele kusambaza taarifa za Ugomvi uliotengenezwa kwenye kipindi cha XXL baina ya Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kwa 90% basi tuwe mstari wa mbele kwenye matukio yanayojitokeza mtaani kwako... ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
Paza sauti ukimya hausaidiii... Tukio lililofanywa na watangazaji wa XXL ilikuwa ni kampeni ya kuwa aminisha watanzania jinsi gani ujumbe unaweza kusambaa kama wataweza kuongea na kutoa taarifa. Fikiria ni mambo mangapi ungeweza kuyazuia kama tuu ungejali na kutoa na taarifa kwa vyombo husika...
‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬

Mara nyingi huko mitaani watu hugombana katika familia,huenda baba akampiga mama hadi kumjeruhi vibaya na pengine hata kumsababisha kifo,na inawezekana mama huyo alikuwa akipiga makelele ya kuomba msaada na pengine watu walisikia na hawakutoa msaada,Ugomvi uliotokea siku ya Jumatano kwenye XXL Clouds Fm Radio kati ya watangazaji wa kipindi hiki halikuwa tukio la uhalisia bali ilikuwa ni kuhamasisha amani katika kampeni ya kuhamasisha Amani,kwa chochote utakachokiona kinachohatarisha amani hapa nchini toa taarifa kwenye vyombo vya dola ‪#‎Pazasauti‬‪#‎Ukimyahausaidii‬
UKweli kuhusiana na tukio la jumatano kwenye kipindi cha XXL Clouds Fm Radio ni huu hapa sikiliza this clip ujue kilichofanyika na kuendelea.
‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
Ugomvi uliotokea kati ya watangazaji wa XXL B12, Adam na Fetty ilikuwa ni jaribio. Walitaka kujua watu watachukuliaje ugomvi huo. Watu wengi wamepaza sauti zao kwenye swala hilo. Sasa kwa nini unabaki kimya kwenye maswala ambayo yanahatarisha maisha na uchumi wa nchi yetu.‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬
LikeLike ·  ·  · 2630

Tumekuwa mstari wa mbele kusambaza taarifa za Ugomvi uliotengenezwa kwenye kipindi cha XXL baina ya Adam Mchomvu, Dj Fetty na B12 kwa 90% basi tuwe mstari wa mbele kwenye matukio yanayojitokeza mtaani kwako... ‪#‎PazaSauti‬ ‪#‎UkimyaHausaidii‬

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com