Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

LORI LA MAFUTA LAPINDUKA MSITUNI MUDA HUU, WANANCHI WAGOMBANIA KUCHOTA MAFUTA

 Lori la Mafuta likiwa limepinduka muda mchache uliopita katika eneo la msitu wa Sao Hill

 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wanakimbilia kuona ajali ya Lori hilo la mafuta
 Wananchi wakiwa wanakimbilia kuchota mafuta hayo yaliyo mwagika katika eneo hilo bila kijali hatari ya kulipuka kwa mafuta hayo.
 Jitihada za kuliondoa Lori la mizigo ambalo nalo limepata ajali eneo hilo zikiwa zinafanyika muda huu ili kupisha Magari mengine kuendelea na Safari.
 Askari wa usalama wa Barabarani wakiwa wamewasili katika eneo la Ajali ilipotokea
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo 

Mpaka tunaondoka eneo la Tukio hakuna taarifa ya kujeruhiwa kwa mtu yoyote .. fuatilia hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com