Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Maajabu!! MREMBO AKUTWA KWENYE KABATI LA CHIPSI AKIWA AMELALA FOFOFO JUU YA CHIPS NA MISHIKAKI

Hili tukio waweza fikiri ni uongo,hii ni kweli kabisa mrembo mmoja amekutwa amelala kwenye kabati la chips maeneo ya Yombo Vituka jijini Dar es salaam leo asubuhi.

Imeelezwa kuwa jana usiku Muuza chips alipofunga  kabati na kufunga eneo lake la biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala.

Walioshuhudia tukio hilo wanasema muuza chips alipofungua leo alimkuta mwanadada huyo ambaye hakujulikana jina lake akiwa amelala fofofo juu ya chips na mishikaki akiwa hajitambui

Hata hivyo bado haijajulikana aliingiaje kwenye kabati hilo la chips maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa katika kabati hilo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com