Tukio hili la kustahajabishA limetokea nchini kenya ambapo mbuzi katika hali ya kushangaza alizaa kitoto ambacho kiwiliwili ni cha mbuzi na kichwa ni cha binadamu.
Tukio hilo limezua gumzo miongoni mwa wanakijiji waliohudhuria tukio hilo kwani wengi wanasema ni tukio la kwanza kutokea mtaani hapo, wengi wao wakilihusisha na imani za kishirikina huku wengine wakidai ni miujiza tu ya mwenyezi mungu.
Hata hivyo kimwanambuzi hicho kilifukiwa kwani tayari kilikua kimeshafariki baada ya kuzaliwa
Social Plugin