Emmanuel Joseph Mbuza enzi za uhai wake
Emmanuel Joseph Mbuza ni mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & Masters ya sheria Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini.
Ni Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliyekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam.
Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Emmanuel Mbuza,Amina!!

Tutaendelea kuwapa Taarifa.
Social Plugin