RAIS WA MAPACHA APATIKANA HUKO KAHAMA,TAZAMA VIDEO HAPA,KUTANA NA WASUKUMA WAKICHEZA NGOMA YA "UKANGO"
Monday, July 21, 2014
Chama cha watu waliozaa mapacha wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wamemsimika Rais bw Mdulambuga katika sherehe za kimila zilizofanyika kwenye kata ya Kashishi wilayani Kahama na mgeni rasmi alikuwa mbunge wa jimbo la Msalala wilayani humo bw Ezekiel Maige Sherehe hizo za kukata na shoka zilipambwa na burudani ya ngoma ya Bakango <<TAZAMA HAPA NGOMA HII YA AINA YAKE HUKU USUKUMANI>>
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin