Gari lililokuwa limebeba rangi likitokea jijini Dar es salaam kwenda nchi jirani ya Rwanda limepinduka katika mji wa Tinde mkoani Shinyanga majira ya saa 7 jana mchana. Gari hilo lilikuwa limebeba ndoo za plastiki zikiwa na rangi,na kufuatia tukio wananchi walianza kugombania rangi kila mtu kivyake. Mbali na purukushani hizo ajali hiyo ya gari ilisababisha usumbufu kwa madereva wengine baada ya kukosa sehemu ya kupita BOFYA HAPA KUONA PICHA WANANCHI WAKIGOMBANIA RANGI |
Social Plugin