Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA GOSPEL WA ALFREDY FUNDA Ft TINA MAREGO-Unaitwa "TUJIFUNZE UPENDO"


Anaitwa Alfredy Funda ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na anamtumikia Mungu kwa style ya Gospel  Flavour. Wimbo wake unaitwa "Tujifunze Upendo".Katika wimbo huu amemshirikisha Tina Marego.

Alfredy Funda ,ambaye sasa yuko jijini Dar es salaam yuko katika maandalizi ya kutoa Video kwa Album yake ya kisasa zaidi.
Alfredy Funda anasema...

"Nimeanzisha kundi langu zuri la Injili,ni moto usiozimika kwa matamasha mazuri ya  Injili na vipaji,naombeni mnipokee,mbarikiwe ,nawapenda!,Nitawezaje kutulia wakati Mungu kanipa Agizo?"

Wasiliana naye kwa simu namba 0714 142 384 au Email alfredyfunda@gmail.com

SIKILIZA WIMBO WAKE HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com