Anaitwa Alfredy Funda ni mwimbaji wa nyimbo za Injili na anamtumikia Mungu kwa style ya Gospel Flavour. Wimbo wake unaitwa "Tujifunze Upendo".Katika wimbo huu amemshirikisha Tina Marego.
Alfredy Funda ,ambaye sasa yuko jijini Dar es salaam yuko katika maandalizi ya kutoa Video kwa Album yake ya kisasa zaidi.
Alfredy Funda anasema...
"Nimeanzisha kundi langu zuri la Injili,ni moto usiozimika kwa matamasha mazuri ya Injili na vipaji,naombeni mnipokee,mbarikiwe ,nawapenda!,Nitawezaje kutulia wakati Mungu kanipa Agizo?"
Wasiliana naye kwa simu namba 0714 142 384 au Email alfredyfunda@gmail.com
SIKILIZA WIMBO WAKE HAPA CHINI
Social Plugin