SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA SHILOLE-Unaitwa ‘Namchukua’
Monday, July 07, 2014
Shilole anaendelea kudondosha nyimbo za kuchezeka zenye majigambo ya mapenzi, na sasa amekutana na Nahreel na kupika wimbo huu mpya unaitwa ‘Namchukua’.
SIKILIZA HAPA CHINI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin