Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA PICHA KIBAO_WANAWAKE WACHAPANA MAKONDE SOKONI HUKO TABORA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI


Wanawake watatu katika soko la mkulima Tabora mjini wamejikuta wakipeana kipigo kikali mchana kweupe wakati walipokuwa wakifanya biashara za mboga mboga hatua ambayo ilisababisha kuharibu sehemu ya bidhaa wanazouza.
Chanzo cha ugomvi huo kimetokana na mmoja wa wanawake hao kuwa mbabe kwa wenzake na hivyo kushindwa kumvumilia kutokana na vituko vyake.
muda mfupi baadaye waliamuliwa ugomvi huo na askari polisi Fakih Abdul aliyekuwa akipita sokoni hapo.






picha zote kwa hisani ya Kapipij blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com