Hii ndio baiskeli ghali zaidi duniani ambayo imetengenezwa na kampuni moja kutoka Califonia Marekani ikiwa na Thamani ya dola za kimarekani Milioni1,080,060 sawa na shillingi za kitanzania bilioni moja na milioni mia sita. Kiti chake kimetengenezwa na ngozi ya mamba,ikiwa imepambwa na vipande 600 vya almasi nyeusi,saphire na kunakishiwa na dhahabu yenye uzito kilo 24. |
Social Plugin