TAZAMA WANAFUNZI HAWA WA BUGOYI ASUBUHI HII MJINI SHINYANGA
Tuesday, July 22, 2014
Katika pita pita zake mjini Shinyanga asubuhi hii kamera za malunde1 blog zimewanasa wanafunzi wa shule ya msingi Bugoyi A iliyopo katika kata ya Ndembezi wakikimbia mchakamchaka. Unaambiwa shule hiyo ya Bugoyi A waliacha kukimbia mchakachaka mwaka 1994 lakini wameanza tena mwaka jana,na sasa kila asubuhi kama kawaida wanakimbia mchaka mchaka
Watoto wa shule ya msingi Bugoyi A wakikatiza katika mtaa wa Mabambasi,kata ya Ndembezi asubuhi ya leo,wakiimba nyimbo mbalimbali-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin