Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BASI LA FIVE ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LIKITOKA MTWARA KWENDA DAR ES SALAAM

Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua leo asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.

Taarifa ya awali zinasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com